Singida United

Singida United yaiga usajili wa Simba
15:26 30-06-2019 EastAfricaTV
#EATV #SingidaUnited #TPL Klabu ya soka ya Singida United imetangaza kuwa itaanza kutangaza rasmi usajili wake leo Juni 30 kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu Tanz...
MWADUI FC 1-0 SINGIDA UNITED: HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (VPL - 25/8/2019)
15:03 27-08-2019 Azam TV
Timu ya Mwadui FC imeanza vema ligi kuu soka Tanzania bara baada ya hii leo kuibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya timu ya Singida United. Goli pekee la Mwadu...
SINGIDA UNITED 0-2 SIMBA SC; HIGHLIGHTS, SHANGWE NA MAHOJIANO (TPL - 21/05/2019)
18:48 21-05-2019 Azam TV
Wekundu wa msimbazi Simba SC wamenyakua Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2018/19 kuichapa Singida United mabao 2-0 kwenye uwanja wa Namfua Singida. ...
SINGIDA UNITED 3-1 NDANDA FC; HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 06/10/2018)
21:08 06-10-2018 Azam TV
Singida United ya mjini Singida imeichapa NDanda SC mabao 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye uwanja wa Namfua Singida. Habibu Ha...
SINGIDA UNITED 1-0 AFRICAN LYON: FULL HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 31/01/2019)
19:31 31-01-2019 Azam TV
Singida United wamepata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya African Lyon katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Namfua mjini Singida. ...
FULL HIGHLIGHTS: YANGA SC 1-1 SINGIDA UNITED (VPL - 11/04/2018)
20:12 11-04-2018 Azam TV
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL), Yanga SC, leo wamebanwa mbavu kwa kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Singida United, katika dimba la Taifa...
SINGIDA UNITED 2-2 JKT TANZANIA: MAGOLI YOTE (TPL - 12/05/2019)
16:55 12-05-2019 Azam TV
Singida United imetoshana nguvu na JKT Tanzania kwa kufungana mabao 2-2 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Namfua mjini Sing...
Straika Singida United Habib Kyombo afuzu majaribio nchini Afrika Kusini
16:59 29-11-2018 Azam TV
Mshambuliaji wa Singida United Habib Kyombo amefuzu majaribio yake kwenye klabu ya Mamelodi Sundowns ya nchini Afrika Kusini.
SINGIDA UNITED 1-0 COASTAL UNION; HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (ASFC - 23/02/2019)
15:59 25-02-2019 Azam TV
Singida United wamefanikiwa kuingia hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Coastal Union. Mch...